HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, March 10, 2019

RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumapili Machi 10, 2019. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na Kushoto kwake ni Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad