Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni akihutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Africa Now Summit 2019 ambapo viongozi wa Afrika wanakutana kujadili masuala mbalimbali ya utengamano katika kuleta maendeleo endelevu barani Afrika ambapo Tanzania imewakilishwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye mkutano wa Africa Now Summit 2019 uliofanyika kwenye hoteli ya Commonwealth Resort, Munyonyo jijini Kampala, Uganda. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali walihoudhuria mkutano wa Africa Now Summit 2019 uliofanyika kwenye hoteli ya Commonwealth Resort, Munyonyo jijini Kampala, Uganda. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) 
Mkutano ukiendelea 



Makamu
 wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan 
(kushoto) akiwa na mwenyeji wa Mkutano wa Africa Now Summit 2019 Rais wa
 Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni pamoja na Rais wa Somalia Mhe. 
Mohamed Abdullahi Mohamed (kulia) wakati wakielekea kwenye ukumbi wa 
mkutano katika hoteli ya Commonwealth Resort, Munyonyo jijini Kampala 
Uganda. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 

 
 









 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment