HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, 22 February 2019

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA CCM WILAYA YA MKOANI PEMBA AKIWA KATIKA ZIARA YAKE  MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein. akiwahutubia Viongozi wa CCM na wa Serikali wa Wilaya ya Mkoani Kisiwani Pemba akiwa katika ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo ya Wilaya hiyo.(Picha na Ikulu)
WAZEE wac Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Mkoani Pemba wakifuatilia hutuba ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa ziara yake katika Wilaya ya Mkoani Pemba na kuzungumza na Viongozi  wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Mkoani, katika ukumbi wa Skuli ya Mohammed Juma Pindua Mkoani.(Picha na Ikulu) 
 KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Mkoani Pemba Ndg. Mohammed  Ali, akiwasilisha ripoti ya Kazi za Chama za Wilaya ya Mkoani Pemba wakati wa mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar  na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, wakati wa mkutano wakev na Viongozi hao, uliofanyika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Mohammed Juma Pindua Mkoani Pemba.(Picha na Ikulu) 

 MWENYEKITI wa CCM Wilaya ya Mkoani Pemba Ndg. Ali Juma Nassor, akitowa salamu za Wanachama wa CCM Wilaya ya Mkoani wakati wa ziara ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, alipokuwa katika ziara yake kisiwani Pemba, Mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Mohammed Juma Pindua Mkoani.(Picha na Ikulu)
 NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg.Dr.Abdallah Juma Mabodi, akizungumza na Wanachama wa CCM Wilaya ya Mkoani Pemba, wakati wa ziara ya Makamu Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kisiwani Pemba mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Mohammed Juma Pindua Mkoani.(Picha na Ikulu)

 BAADHI ya Viongozi wa CCM Wilaya ya Mkoani Kisiwani Pemba wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, hayuko pichani.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a comment

Post Bottom Ad