
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakimjulia hali Waziri Mkuu, Mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim leo jijini Dar es Salaam Januari 6, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisindikizwa na Waziri Mkuu Mstaafu, Dkt Salim Ahmed Salim wakati alipomjulia hali Waziri Mkuu Mstaafu huyo, jijini Dar es salaam, Januari 6, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakisindikizwa na Waziri Mkuu, Mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim wakati alipomjulia hali Waziri Mkuu Mstaafu huyo, jijini Dar es salaam Januari 6, 2018. Watatu kushoto ni Mama Amen Salim. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment