HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, 25 January 2019

WAFANYAKAZI WA ZANTEL WASHIRIKI MAFUNZO YA KUWAONGEZA UFANISI WA KUFANIKISHA MALENGO YA KAMPUNI

Kampuni ya mawasiliano ya Zantel hivi karibuni iliandaa mafunzo maalum kwa wafanyakazi wake kwa ajili ya kujenga timu bora (team building) yenye ari kubwa ya kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa na kufanikisha malengo katika kipindi cha mwaka 2019.

Mafunzo hayo ambayo yalijumuisha wafanyakazi kutoka vitengo mbalimbali yalifanyika wilayani Bagamoyo katika mkoa wa Pwani.
 Mkuu wa kitengo cha Raslimali Watu wa Zantel, Joan Makwaia Kazimoto,akiongea na wafanyakazi wakati wa mafunzo hayo ya team building.
 Baadhi ya wafanyakazi wa Zantel wakimsikiliza kwa makini Mtaalamu Ushauri wa masuala ya ulinzi wa Zantel,Abdallah Msika wakati wa mafunzo hayo.
 Mkuu wa kitengo cha sheria wa Zantel, Salum Toufiq Ali akiwafafanulia jambo wafanyakazi wenzake wakati wa mafunzo hayo.
 Meneja wa miradi wa kampuni ya Empower Limited, Joel Gasto Lyaruu akitoa maelezo kwa wafanyakazi wa Zantel wakati wa mafunzo hayo.
 Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya ushauri wa masuala ya kazi ya Empower Limited, Miranda Naiman,akitoa mada kwa wafanyakazi wa Zantel wakati wa mafunzo hayo.
Mafunzo hayo yaliendeshwa pia kwa njia ya vitendo kuzidi kuwaweka pamoja wafanyakazi wa Zante

No comments:

Post a comment

Post Bottom Ad