HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Friday, 18 January 2019

KAMATI YA KUDUMU YA BARAZA LA WAWAKILISHI YA KUSIMAMIA OFISI ZA VIONGOZI WAKUU WA KITAIFA YATEMBELEA OFISI YA RAIS


 WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Ussi Gavu, akisoma Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi wa  Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  kwa Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi ya Kusimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa,kulia Mwenyekiti wa Kamati Mhe. Panya Ali Abdallah, akifuatilia taarifa hiyo wakati ikiwasilishwa katika ukumbi mdogo Ofisi ya Rais Ikulu.
 MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi ya Kusimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa Zanzibar. Mhe. Panya Ali Abdallah, akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Ussi Gavu, akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , wakati wa mkutano huo uliofanyika katika Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar.
WAJUMBE wa Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi ya Kusimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa Zanzibar, wakifuatilia Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, wakati ikiwasilishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Ussi  Gavu.wakati akiwailisha taarifa hiyo kwa Kamati katika ukumbi wa Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu) 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad