Mratibu wa Taifa wa Magonjwa yaliyokuwa hayapewi Kiupaumbele, Dkt. Upendo Mwingira akitoa mada kwa waandishi wa habari kuhusu kampeini kutoa kingatiba kwa magonjwa yaliyokuwa hayapewi kiupaumbele ambayo ni Matende na Mabusha(Ngirimaji), Usubi, Kichocho, Minyoo nk. iliyofanyika katika ofisi ya Wizara ya Afya jijini Dar es Salaam.
Afisa Mipango- Mpango wa Taifa wa kudhibiti Magonjwa hayapewi Kiupaumbele, Osca Kaitaba akitoa mada kwa waandishi wa habari kuhusu kampeini kutoa kingatiba kwa magonjwa yaliyokuwa hayapewi kiupaumbele ambayo ni Matende na Mabusha(Ngirimaji), Usubi, Kichocho, Minyoo nk. iliyofanyika katika ofisi ya Wizara ya Afya jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa kwenye semina iliyoandaliwa na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuhusu kutoa kingatiba ya magonjwa yaliyokuwa hayapewi kiupaumbele iliyofanyika leo katika ukumbi wa Wizara hiyo leo jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment