HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, 13 December 2018

TIGO YAANDAA HAFLA KWA WAKALA WAKE ,YATANGAZA PROMOSHENI YA MWISHO WA MWAKAMkuu wa Kitengo cha Huduma za Kifedha kutoka Tigo Hussein Sayed, akimuuliza swali mmoja wa mawakala walihudhuria hafla ya chakula cha jioni ambapo Tigo ilitangaza promosheni ya mwisho wa mwaka inayojulikana kama Wakala Chief itakayotoa zawadi ya mamilioni kwa mawakala watakaofanya vizuri katika biashara zao.
Meneja wa Tigo Pesa, James Sumari akizungumza na baadhi ya mawakala wa Tigo Pesa katika hafla iliyofanyika jijjini Dar es Salaam ambapo Tigo ilitangaza promosheni ya mwisho wa mwaka inayojulikana kama Wakala Chief itakayotoa zawadi ya mamilioni kwa mawakala watakaofanya vizuri katika biashara zao.
Baadhi ya Wakurugenzi wa kampuni ya mawasiliano ya Tigo wakiwa katika picha ya pamoja na mawakala wa Tigo Pesa katika hafla ambapo Tigo ilitangaza promosheni ya mwisho wa mwaka kwa inayojulikana kama Wakala Chief itakayotoa zawadi ya mamilioni kwa mawakala watakaofanya vizuri katika biashara zao.
Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kifedha kutoka Tigo Hussein Sayed, akitoa zawadi ya kofia lwa mmoja wa mawakala wa Tigo Pesa aliyefanikiwa kujibu kwa usashi swali alilouliza kuhusu Tigo Pesa wakati wa hafla ya chakula cha jioni ambapo Tigo ilitangaza promosheni ya mwisho wa mwaka kwa inayojulikana kama Wakala Chief itakayotoa zawadi ya mamilioni kwa mawakala watakaofanya vizuri katika biashara zao.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad