Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Onesmo Buswelu(kushoto)ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Siha,akipokea msaada wa mifuko 70 ya Mbolea aina ya Urea kwa ajili ya vikundi vya kina mama wanaojishughulisha na kilimo mkoani humo,Msaada huo umetolewa na GSM Tanzania na kukabidhiwa na Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa GSM Group,Matina Nkurlu(kulia)anaeshuhudia katikati ni Afisa mauzo wa kampuni hiyo kanda ya kaskazini Nurdin Mangenya
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Onesmo Buswelu(kulia)ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Siha,akihesabu mifuko ya 70 ya Mbolea aina ya Urea mara baada ya kukabidhiwa kama msaada kwa ajili ya vikundi vya kina mama wanaojishughulisha na kilimo mkoani humo,Msaada huo umetolewa na GSM Tanzania na kukabidhiwa na Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa GSM Group,Matina Nkurlu(kushoto)
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Onesmo Buswelu(kulia)ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Siha,akihesabu mifuko ya 70 ya Mbolea aina ya Urea mara baada ya kukabidhiwa kama msaada kwa ajili ya vikundi vya kina mama wanaojishughulisha na kilimo mkoani humo,Msaada huo umetolewa na GSM Tanzania na kukabidhiwa na Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa GSM Group,Matina Nkurlu(katikati)anaeshuhudia kushoto ni Afisa mauzo wa kampuni hiyo kanda ya kaskazini,Nurdin Mangenya
No comments:
Post a Comment