HABARI MPYA

Home Top AdPost Top Ad

Monday, 3 December 2018

KIGAMBONI INTERNATIONAL MARATHON 2018 YAFANA JIJINI DAR ES SALAAM

Mkuu wa wilaya ya Temeke Mhe. Felix Lyaniva akikimbia KM 10 mbio Kimataifa za Kigamboni mapema leo zilizoanzia eneo la Fun City jijini Dar es Salaam. Pembeni yake ni Ofisa Tawala wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigamboni Rahel Mhando (kushoto) nyuma ni Meya wa Kigamboni Mhe. Maabadi Suleiman Hoja (CCM). Picha na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.
Mkuu wa wilaya ya Temeke Mhe. Felix Lyaniva akikimbia za mbio KM 10 za Kigamboni mapema leo eneo la Fun City jijini Dar es Salaam. Pembeni yake ni Ofisa Tawala wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigamboni Rahel Mhando (kushoto).
Wakimbiaji wa KM 41 wakifukuza upepo katika mchuano mkali.
Kila mmoja akionyesha umahili wake wa kufukuza upepo katika mbio za Kigamboni International Marathon 2018 zilizofanyika Kigamboni jijini Dar es Salaam.
...Wakiwa na nyuso za uchovu.... kila mmoja kamnunia mwenzake
Mkuu wa wilaya ya Temeke Mhe. Felix Lyaniva aakifutahia mara baada ya kumaliza mbio za mbio KM 10 za Kigamboni mapema leo eneo la Fun City jijini Dar es Salaam. Katikati ni Ofisa Tawala wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigamboni Rahel Mhando na Kushoto ni Meya wa Kigamboni Mhe. Maabadi Suleiman Hoja (CCM).
 Kila mmoja alikuwa na furaha baada ya kupokea medali yake...
 Muandaaji Dimo Dibwe akiwa na Imani Kajula mara baada ya kumaliza shindano.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad