HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, 8 November 2018

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA KUWAIT NCHINI OFISINI KWAKE JIJINI DODOMA

 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza na Balozi wa Kuwait nchini Mubarak Mohammed Alsehaijan alipotembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma.
 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza na Balozi wa Kuwait nchini Mubarak Mohammed Alsehaijan alipotembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma.
 Balozi wa Kuwait nchini Mubarak Mohammed Alsehaijan akimpa Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai zawadi alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma.
 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai katika picha ya pamoja na Balozi wa Kuwait nchini Mubarak Mohammed Alsehaijan mara baada ya kuzungumza naye Ofisini kwake Jijini Dodoma.
PICHA NA BUNGE

No comments:

Post a comment

Post Bottom Ad