HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, 15 November 2018

MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB ATAMBULISHWA BUNGENI, JIJINI DODOMA LEO

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela alipomkaribisha Bungeni jijini Dodoma leo. Nsekela alimtembelea Spika Ndugai kwa lengo la kujitambulisha baada ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya CRDB.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai (kushoto) akizungumza jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela aliyemtemebelea Bungeni, jijini Dodoma leo kwa lengo la kujitambulisha baada ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya CRDB. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki hiyo, Ally Laay.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai (kushoto) akizungumza na ujumbe wa Benki ya CRDB uliomtembelea Bungeni jijini Dodoma leo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akipungua wakati alipotambulishwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, kwa Wabunge jijini Dodoma leo.
Ujumbe wa Benki ya CRDB ukifatilia kikao cha Bunge, jijini Dodoma leo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akibadilishana mawazo na baadhi ya Wabunge nje ya viwanja vya Bunge, jijini Dodoma leo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kulia) akimsikiliza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe alipokutana naye nje ya viwavja vya Bunge, jijini Dodoma leo.No comments:

Post a comment

Post Bottom Ad