HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, October 9, 2018

WAFANYAKAZI WA ZANTEL WAFANYA USAFI SOKO KUU LA TANGA

Wafanyakazi wa kampuni ya mawasiliano ya Zantel wakifanya usafi soko la Mgandini jijini Tanga, kama sehemu ya huduma zao kwa jamii. Wafanyakazi wa Zantel walikuwa jijini Tanga kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni yake mpya maalum kwa mikoa ya Pwani, ijulikanayo kama BAO. Baada ya Usafi, Zantel ilikabidhi vifaa vya kufanyia usafi kwa uongozi wa soko la Mgandini ili viendelee kusaidia kuweka mazingira ya soko hilo katika hali ya usafi.
 Wafanyakazi wa kampuni ya mawasiliano ya Zantel wakifanya usafi soko la Mgandini jijini Tanga, kama sehemu ya huduma zao kwa jamii.
 Wafanyakazi wa kampuni ya mawasiliano ya Zantel wakikabidhi vifaa vya kufanyia usafi kwa uongozi wa soko la Mgandini ili viendelee kusaidia kuweka mazingira ya soko hilo katika hali ya usafi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad