HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, October 17, 2018

RAIS WA ZANZIBAR DKT ALI MOHAMED SHEIN AFUNGUA MAONESHO YA KWANZA YA UTALII ZANZIBAR

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein kushoto akisalimiana na Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii na Mambo ya kale Khadija Bakari mara baada ya kuwasili katika ufunguzi wa Maonesho ya kwanza ya Utalii yaliofanyika Hotel Verde Maruhubi Zanzibar.Katikati ni Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein katikati akiwapamoja na Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya kale Mahmoud Thabit Kombo kulia na Mkuu wa mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohamed Mahmoud walipotembelea mabanda mbalimbali ya maonesho katika ufunguzi wa maonesho hayo ya kwanza ya Utalii yaliofanyika Hotel Verde Maruhubi Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed
Shein kushoto akipata maelezo kuhusiana na Vitu mbalimbali vya kizamani ikiwemo Pishi katika ufunguzi wa maonesho  ya kwanza ya Utalii yaliofanyika Hotel Verde Maruhubi Zanzibar.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohamed Shein wapili kushoto akiuliza maswali kwa Meneja Mkuu  wa Kampuni ya Com Net Keith McCormick alipotembelea Banda hilo katika ufunguzi wa maonesho  ya kwanza ya Utalii yaliofanyika Hotel Verde Maruhubi Zanzibar.

 Baadhi ya Viongozi wa Serikali waliohudhuria katika ufunguzi wa maonesho  ya kwanza ya Utalii yaliofanyika Hotel Verde Maruhubi Zanzibar.
 Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mahmoud Thabit Kombo akitoa hotuba ya makaribisho kwa mgeni Rasmi katika ufunguzi wa maonesho  ya kwanza ya Utalii yaliofanyika Hotel Verde Maruhubi Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohamed Shein kulia  alipotoa hotuba  ya Ufunguzi wa maonesho  ya kwanza ya Utalii yaliofanyika Hotel Verde Maruhubi Zanzibar.katikati ni Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Samia Suluhu Hassan na Mwisho kushoto ni Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya kale Mahmoud Thabit Kombo.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad