HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, 3 October 2018

PREMIER BET YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI 15

Kampuni ya Michezo ya Kubahatisha ya Premier Bet leo imekabidhi zawadi kwa washindi 15 waliocheza bahati nasibu ya jackpot yenye thamani ya shilingi milioni 79 ambapo washindi hao 15 kila mmoja alifanikiwa kuondoka na kitita cha zaidi ya milioni 5 za kitanzania .

Premier Bet imeendeleza kuhamasisha wateja wake kuendelea kucheza na kuweza kuibuka mshindi wa Jackpot itakayochezwa kila siku ya Jumanne na Jumamosi.

Premier Bet imeendelea kubadilisha maisha ya watanzania wengi kupitia jackpot inayochezeshwa kila jumanne na jumamosi. Washindi hao 15 wametoka katika mikoa mbalimbali ikiwemo Mtwara, Tabora na Dar Es Salaam.
Meneja Rasilimali watu na Utawala kutoka Kampuni ya Michezo ya Kubashiri ya Premier Bet Amanda Kombe(katikati) akizungumza na waadishi wa habari leo kuhusu droo iliyochezeshwa na kampuni hiyo na kupatikana washindi 15 kwenye droo ya Jackpot ya Premier Bet.
Mhamasishaji wa Mchezo wa Kubashiri wa Premier Bet Salama Jabir akionesha namna ya kubet wakati walipotangazwa washindi 15 wa Droo ya Jackpot ya Premier Bet. Kulia ni Meneja Rasilimali watu na Utawala kutoka Kampuni ya Michezo ya Kubashiri ya Premier Bet Amanda Kombe.
Washindi wakiwa kwenye picha ya pamoja. Picha na Mohamed Ibrahim, Michuzi Blog

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad