Familia ya Bibi na Bwana Jimmy Samalu wa Dar es salaam inapenda kumpongeza binti yao mpendwa Brenda Samalu kwa kumaliza Shahada yake ya awali ya uchumi na mahesabu (Bachelor of Science in Economics and Mathematics) katika Chuo kikuu cha Memorial kilichopo St. John's Newfoundland nchini Canada.
Friday, October 19, 2018

PONGEZI KWA BRENDA SAMALU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment