Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania(TRC) Masanja Kadogosa akizungumza na waandishi wa habari wakati Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ) Jenerali Venance Mabeyo alipotembelea mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa itakayotumia umeme inayoendelea kujengwa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania(TRC) Masanja Kadogosa akitoa maelezo juu ya ujenzi wa mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa jijini Dar es Salaam kabla ya kuanza ziara ya kukagua mradi huo kutokea kituo cha Ilala mpaka kituo cha Soga.
Meneja Mradi mradi wa reli ya kisasa ya standard gauge, Injinia Maizo Mgedzi akizungumza wakati Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ) Jenerali Venance Mabeyo alipotembelea mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa ya Standard gauge kutokea kituo cha Ilala hadi kituo sha Soga.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ) Jenerali Venance Mabeyo akimsikiliza maneja mradi wa reli ya kisasa ya standard george Injini Maizo kabla ya kuanza kukagua mradi huo.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ) Jenerali Venance Mabeyo akiwa na baadhi ya wanajeshi wakitemelea kiwanda ambacho kinatengeneza mataaluma ambayo yatatumika katika ujenzi wa reli ya kisasa ya Standard Gauge.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ) Jenerali Venance Mabeyo pamoja na baadhi ya wanajeshi wakiangalia jinsi mataaluma yanavyotengenezwa katika kituo cha Soga.
Mataaluma yakitengenezwa kiwandani
Mitambo ya kiwanda cha Soga kinachotengeneza mataaluma.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ) Jenerali Venance Mabeyo akizungumza na waandishi wa habari katika kituo cha soga mara baada ya kutembelea na kukagua jinsi mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa standard george.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Reli Tanzania(TRC) Masanja Kadogosa akitoa maelezo kwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ) Jenerali Venance Mabeyo wakati alipoembelea ujenzi wa reli ya kisasa ya standarge gaurge.
Sehemu ya reli ambayo imekamilika.
No comments:
Post a Comment