
Meneja
Uendeshaji wa CRDB Microfinance, Raymond Urassa (kulia) akizungumsa na
waandhi wa habari wakati wa kuendesha droo kubwa ya mwezi katika kampeni
ya Shinda na SimAccount iliyofanyika Oktoba 25, 2018 Mikocheni jijini
Dar es salaam. Jumla ya wateja 924 wameweza kujishindia viwango
mbalimbali vya fedha, wakiongizwa na Stanford Mdolo kutoka Isaka Mkoani
Shinyanga aliyejishindia kitita cha Milioni 10 katika droo hiyo, Wengine
ni Godfrey Nzoha kutoka Nzovwe, Mbeya (Milioni 5) pamoja na Jacob Lucas
kutoka Mkuranga, Pwani (Milioni 1) . ambapo asilimia kubwa ya washindi
hao ni wakulima. Kushoto ni Meneja Masoko wa CRDB Microfinance, Ariel
Mkony

Meneja
Masoko wa CRDB Microfinance, Ariel Mkony kabla ya kufanyika kwa droo
kubwa ya mwezi katika kampeni ya Shinda na SimAccount
iliyofanyika Oktoba 25, 2018 Mikocheni jijini Dar es salaam. Katikati ni
Meneja Uendeshaji wa CRDB Microfinance, Raymond Urassa na kulia ni
Balozi wa Kampeni hiyo, Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya, Zuwena Mohamed
(Shilolole).
No comments:
Post a Comment