HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, 24 October 2018

MBABE HAJAPATIKANA TANZANIA PRISON NA AFRICAN LYON LEO..

Mshambuliaji wa Prisons Jeremia Juma akiwa anaambaambaa na mpira wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) dhidi ya African Lyon uliomaliza kwa timu hizo kutoshana nguvu ya 0-0 kwenye Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.
Mtanange Ukiendelea
Beki wa Tanzania Prisons Leon Mutalemwa (23) akiwania mpira na mchezaji wa African Lyon Ismail Gambo (17) wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) dhidi ya African Lyon uliomalizika kwa timu hizo kutoshana nguvu ya 0-0 kwenye Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.
Mchezaji wa African Lyon Adam Omary (7) akiwania mpira na beki wa Tanzania Prisons Benjamin Asukile (6) wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) uliomalizika kwa timu hizo kutoshana nguvu ya 0-0 kwenye Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.PICHA ZOTE NA MR.PENGO MICHUZI MEDIA.Beki wa African Lyon Kassim Simbaulanga akiwa juu akiwania Mpira na mchezaji wa Tanzania Prisons wakati wa mchezo wa Ligi Kuu uliomalizika kwa timu hizo kutoshana nguvu ya 0-0 kwenye Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.No comments:

Post a comment

Post Bottom Ad