Benki ya i&M imeadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa kuzindua Promosheni inayojulikana kama JIDABO na i&M Bank.
Promosheni hiyo itawezesha Wateja wa Benki hiyo kupata akiba mara mbili katika Akaunti zao, Promisheni itakayodumu kwa kipindi cha Miezi mitatu kuanzia Oktoba Mosi.
Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Kitengo cha Wateja wa Rejareja wa i&M Bank, Ndabu Swere amesema Wiki ya Huduma kwa Wateja wanaipa kipaumbele kwa kuwashukuru Wateja, na kuangalia vitu vya kuboresha katika Benki.
Ndabu amesema Promosheni ya JIDABO na i&M Bank itakuwa kwa Wateja wa ndai na Wateja watarajiwa.
Amesema ili kushiriki Promisheni hiyo Wateja wote wenye Akaunti za Akiba, Biashara na Watoto wanaweza kushiriki katika Promosheni hiyo
Mkuu wa Kitengo cha Wateja wa Rejareja wa i&M Bank, Ndabu Swere akizungumza na wateja pamoja na wafanyakazi wa I&M Bank kuhusu kuanzishwa kwa promosheni mpya ya JIDABO na i&M Bank iliyoanza leo katika maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa wateja wa benki hiyo leo jijini Dar es Salaam.
Wateja na wafanyakazi wa i&M Bank Tawi wa Oysterbay wakikata keki wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja Duniani jijini Dar es Salaam
Wateja wa i&M Bank tawi la Kariakoo wakikata keki wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja Duniani jijini Dar es Salaam
Maneja wa i&M Bank Tawi la Kariakoo, Asheri Warioba akizungumza na wateja pamoja na wafanyakazi wa I&M Bank katika tawi ilo kuhusu huduma wanazozitoa wakati wa Wiki ya Huduma kwa Wateja Duniani jijini Dar es Salaam
Mkuu wa Kitengo cha Wateja wa Rejareja wa i&M Bank, Ndabu Swere akimsikiliza mmoja wa wateja wa I&M Bank Tawi la Main wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja Duniani jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Tawi la Main Imran Walli akimlisha mmoja wa wateja wa benki hiyo wakati Wiki ya Huduma kwa Wateja Duniani jijini Dar es Salaam
Mkuu wa Kitengo cha Wateja wa Rejareja wa i&M Bank, Ndabu Swere akilishwa keki na mmoja wa wateja wa benki hiyo wakati wa Wiki ya Huduma kwa Wateja Duniani jijini Dar es Salaam.
Maneja wa i&M Bank Tawi la Kariakoo, Asheri Warioba akimlisha mmoja wa wateja wa benki hiyo wakati Wiki ya Huduma kwa Wateja Duniani jijini Dar es Salaam
Meneja wa Tawi la Oysterbay Abbasali Remtulla akimlisha mmoja wa wateja wa benki hiyo wakati Wiki ya Huduma kwa Wateja wa jijini Dar es Salaam
Meneja wa Tawi la Oysterbay Abbasali Remtulla akilishwa na mmoja wa wateja wa benki hiyo wakati Wiki ya Huduma kwa Wateja Duniani jijini Dar es Salaam .
Meneja Masoko naUhusiano wa I&MBank, Emmanuel Kiondo(kulia) akizungumza jambo na Meneja wa Tawi la Oysterbay Abbasali Remtulla
wakati wa Wiki ya Huduma kwa Wateja Duniani jijini Dar es Salaam.
wakati wa Wiki ya Huduma kwa Wateja Duniani jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wafanyakazi wa i&M Bank kutoka baadhi ya Matawi ya Benki hiyo ya Jijini Dar es Salaam wakitoa huduma kwa wateja wa benki hiyo wakati wa jijini Dar es Salaam.
Wateja na wafanyakazi wa I&M Bank wa matawi mbalimbali ya Jijini Dar es Salaam wakiwa kwenye picha ya pamoja wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja Duniani jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment