Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimkabidhi tuzo Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa Nsekela, kwa kuwa wadamini wakuu wa Maonyesho ya Viwanda Mkoa wa Pwani, yaliyofunguliwa rasmi leo Oktoba 29, 2018, katika viwanja vya Sabasaba, Kibaha picha ya Ndege, Mkoani Pwani. Katikati ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa Nsekela, akitoa hotuba yake wakati wa Maonyesho ya Viwanda Mkoa wa Pwani, yaliyofunguliwa
na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan leo Oktoba 29, 2018, katika viwanja vya Sabasaba, Kibaha picha ya
Ndege, Mkoani Pwani.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan
akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa
Nsekela, baada ya kutoa hotuba yake wakati wa Maonyesho ya Viwanda Mkoa wa Pwani,
yaliyofunguliwa rasmi leo Oktoba 29, 2018, katika viwanja vya Sabasaba,
Kibaha picha ya Ndege, Mkoani Pwani. Benki ya CRDB ni wadhamini wakuu wa Maonyesho hayo. Katikati ni Waziri wa Viwanda,
Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiteta
jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa
Nsekela, wakati wa Maonyesho ya Viwanda Mkoa wa Pwani, yaliyofunguliwa
rasmi leo Oktoba 29, 2018, katika viwanja vya Sabasaba, Kibaha picha ya
Ndege, Mkoani Pwani.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa (wa tatu kulia) alipokuwa akimueleza machache juu ya huduma wanazotoa, wakati alipotembelea Banda la Benki ya CRDB, kwenye Maonyesho ya Viwanda Mkoa wa Pwani,
yaliyofunguliwa rasmi leo Oktoba 29, 2018, katika viwanja vya Sabasaba,
Kibaha picha ya Ndege, Mkoani Pwani. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa
Nsekela.






No comments:
Post a Comment