HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, 16 October 2018

BALOZI WA TANZANIA NCHINI SWEDEN DKT.SLAA AMTEMBELE SPIKA WA BUNGE

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Sweden, Dkt. Willibrod Slaa wakati Balozi huyo alipomtembelea nyumbani kwake Jijini Dodoma.
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akifurahi jambo na Balozi wa Tanzania Nchini Sweden, Dkt. Willibrod Slaa wakati Balozi huyo alipomtembelea nyumbani kwake  Jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad