Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali, Mawaziri, Viongozi wa dini na
Chama akivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa
Daraja la Mto Sibiti lenye urefu wa mita 82 pamoja na barabara unganishi
zenye urefu wa km 25 katika eneo la mto Sibiti Mpakani mwa Simiyu na
Singida.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali, Mawaziri, Viongozi wa dini na
Chama akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mitambo itakayotumika katika
mradi huo wa ujenzi wa Daraja la mto Sibiti.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wananchi wa Sibiti, Maswa na Singida katika eneo la mto
Sibiti kabla ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Daraja la Mto Sibiti
lenye urefu wa mita 82 pamoja na barabara zake unganishi zenye urefu wa
km 25.
Wanachi mbalimbali kutoka Singida, Maswa, Sibiti wakishangilia wakati wa
hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli katika eneo la Sibiti mpakani mwa mikoa ya Simiyu na Singida.
Kikundi cha ngoma cha Lusanya kutoka Singida kikitumbuiza katika sherehe hizo.
Sehemu ya Daraja la mto Sibiti lenye urefu wa mita 82 upana mita 10.5 linalounganisha kati ya mikoa ya Simiyu na Singida kama linavyoonekana ambapo ujenzi wake umefikia asilimia 70. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment