HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, September 21, 2018

NAIBU WAZIRI WA NISHATI MGALU ATOA PONGEZI KWA TPDC KUPITIA KAMPUNI YAKE TANZU YA GASCO KWA KUKAMILISHA UTOBOAJI WA BOMBA LA GESI- MKURANGA


Naibu Waziri wa Nishati Subira Mgalu akiongea na wanahabari mara baara ya kukagua eneo lilipokuwa inafanyika kazi ya utoboaji wa bomba la gesi asilia na kuweka toleo katika kijiji cha Mwanambaya Wilayani Mkuranga kwa ajili ya kuwasambazia wateja wa viwandani katika Wilaya hiyo. Picha na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG, Mkuranga.

Naibu Waziri wa Nishati Subira Mgalu akipata maelezo machache kutoka kwa Mhandisi wa Mitambo wa Kampuni Tanzu ya GASCO, Dominic Ngunyami mara baada ya kutembelea eneo la lilipofanyika kazi ya utoboaji wa bomba la gesi asilia na kuweka toleo katika kijiji cha Mwanambaya Wilayani Mkuranga kwa ajili ya kuwasambazia wateja wa viwandani katika Wilaya hiyo.
Naibu Waziri wa Nishati Subira Mgalu akipata maelezo toka kwa Mhandisi Victoria Munisi Idara ya Usambazaji Gesi ya Asili Kampuni Tanzu ya GASCO. Pembeni kulia ni Mhandisi wa Mitambo wa Kampuni Tanzu ya GASCO, Dominic Ngunyami na (wa pili kulia) ni Mhandisi Kavishe. 
Naibu Waziri wa Nishati Subira Mgalu akisalimia na Mhandisi wa Mitambo wa Kampuni Tanzu ya GASCO, Dominic Ngunyami wakati alipotembelea eneo lilipofanyika kazi ya utoboaji wa bomba la gesi asilia na kuweka toleo katika kijiji cha Mwanambaya Wilayani Mkuranga kwa ajili ya kuwasambazia wateja wa viwandani katika Wilaya hiyo.
 Bomba likiwa limetobolewa.
Mafundi wakikamilisha ufungaji wa bomba hilo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad