HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, 11 September 2018

MATUKIO BUNGENI SEPTEMBA 10,2018

 aziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mtwara vijijini, Hawa Ghasia, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 10, 2018.
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Hussein Mwinyi, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 10, 2018.
 Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza Bungeni jijini Dodoma, Septemba 10, 2018.
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Hussein Mwinyi, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 10, 2018.
 Naibu Waziri wa Fedha,Dkt. Ashatu Kijaji akizungumza, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 10, 2018.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Baraza la Wawakilishi Jaku Hashim Ayoub, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 10, 2018.
 Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi akizungumza Bungeni jijini Dodoma, Septemba 10, 2018. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad