HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, September 17, 2018

MAJALIWA ASHUHUDIA MECHI KATI YA NAMUNGO FC NA DODOMA FC - UWANJA WA JAMHURI DODOMA

Rashidi Mpemba  (kushoto) wa Dodoma FC  na  Bruno John wa Namungo FC   wakiwania mpira katika mechi ya kirafiki iliyochezwa kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Septemba 16, 2018. Timu hizo zilitoka suluhu. 
Rashidi Mpemba (kushoto) wa Dodoma FC akimiliki mpira huku akizongwa na Bruno John wa Namungo FC katika mechi ya kirafiki iliyochezwa kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Septemba 16, 2018. Timu hizo zilitoka suluhu.
Zahoro Pazi wa timu ya Dodoma FC (kulia) akimtoka Luka Kikoti wa Namungo FC katika mchezo wa kirafiki uliochezwa kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma Septemba 16, 2018. Timu hizo zilitoka suluhu.
Rashidi Mpemba  (kushoto) wa Dodoma FC  na  Bruno John wa Namungo FC   wakiwania mpira katika mechi ya kirafiki iliyochezwa kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Septemba 16, 2018. Timu hizo zilitoka suluhu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Dodoma Mjini ambaye pia na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde wakati alipowasili kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma kushuhudi mechi ya kirafiki kati ya Namungo FC ya Ruangwa na Dodoma FC, Septemba 16, 2018. Timu hizo zilitoka suluhu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji na viongozi wa timu ya mpira wa miguu  ya Namungo FC ya  Ruangwa na Dodoma FC baada ya mchezo wa kirafiki kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Septemba 16, 2018. Timu hizo zilitoka suluhu.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji na viongozi wa timu ya Namungo FC ya Ruangwa baada ya mechi ya kirafiki kati ya timu hiyo na Dodoma FC iliyochezwa kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Septemba 16, 2018. Timu hizo zilitoka suluhu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji na viongozi wa timu ya Dodoma FC baada ya mechi ya kirafika kati ya timu hiyo na Namungo FC ya Ruangwa kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Septemba  16, 2018. Timu hizo zilitoka suluhu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad