Na Ripota Wetu,Globu ya jamii
ALIELYEKUWA Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja Vya Ndege Tanzania Richard Mayongela athibitishwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege nchini.
Taarifa iliyotolewa leo kwa vyombo vya habar imesema kuwa amethibitishwa kwenye nafasi hiyo na Kaimu Mkurugenzi wa Railimali na Utawala Lawrance Thobias wakati wa Mkutano wa Mameneja wa viwanja vya mikoani na Wakuu wa Vitengo mbalimbali vya Mamlaka.
Amefafanua kwa kueleza kwamba amethibitisha kupokea barua ya uthibitisho huo kutoka kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwele mara baada ya kuona Utendaji wake mzuri katika Mamlaka.
Hivyo kuanzia sasa Mayongela ndio Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka ya viwanja vya ndege nchini.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja Vya Ndege Tanzania Richard Mayongela
No comments:
Post a Comment