Spika wa Bunge Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Chaani Khamis Yahya Machano (kulia) alipokwenda kumjulia hali nyumbani kwake Unguja Mjini, Zanzibar mapema leo.
Spika wa BungeJob Ndugai (wa pili kushoto) akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Chaani Mheshimiwa Khamis Yahya Machano (kulia) alipokwenda kumjulia hali nyumbani kwake Unguja Mjini, Zanzibar mapema leo. Wa kwanza kushoto ni Machano Othman Said (Mb). PICHA NA BUNGE
No comments:
Post a Comment