HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, July 23, 2018

RAIS MAGUFULI APOKEA MAGAWIO TOKA KATIKA TAAISI, MASHIRIKA NA MAKAMPUNI YA UMMA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea gawio toka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni ya TIPER Profesa Abdulkarim Mruma  katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Jumatatu Julai 23, 2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea gawio toka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakala wa Maendeleo ya Biashara (TANTRADE) akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Tantrade Bw. Edwin Rutageruka.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea gawio toka kwa Mfuko wa Misitu Tanzania akiwa na Katibu Dkt. Tuli Salum Msuya  katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Jumatatu Julai 23, 2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea gawio toka kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na (EWURA) Maji Profesa Jamidu Kamika akiwa na Kaimu Mkurugenzi mkuu wa  EWURA Bw. Nzinyangwa Mchani  katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Jumatatu Julai 23, 2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea gawio toka kwa Mwenyekliti wa Bodi ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) Profesa Rutasitara akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa TCAA Bw. Hamza Johari  katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Jumatatu Julai 23, 2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea gawio toka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Balozi Ben Moses akiwa na Kaimu Mkurugenzi wa TFDA Bi. Agnes Kijo   katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Jumatatu Julai 23, 2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea gawio toka kwa Mwenyekiti wa Shirika la Viwango (TBS)  Prof. Makenya Abraham Honoratus Maboko akiwa na  Mkuruigenzi wa TBS Profesa Egird Mubofu  katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Jumatatu Julai 23, 2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea gawio toka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Bandari  Profesa Ignas Rubaratuka aliye pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo Mhandisi Deusdedit Kakoko  katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Jumatatu Julai 23, 2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea gawio toka kwa Mwenyekiti wa  Bodi ya Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Bonde la Ngorongoro Profesa Abiud Lucas Kaswamila akiwa a Mhifadhi Mkuu wa  Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro Dkt. Freddy Manongi  katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Jumatatu Julai 23, 2018.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea gawio toka kwa  Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali George Waitara   katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Jumatatu Julai 23, 2018.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akikabidhi Cheti cha kutambua kuvuka malengo ya gawio  kwa  Mwenyekiti wa Bodi Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA)  Dkt. Jonas Kilimbe akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Mhandisi James Kulaba  katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Jumatatu Julai 23, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na meza kuu wakipata picha ta pamoja na wajumbe wa Kamati ya Kudumua ya Bunge ya Uwekezaji wa Mtaji wa Umma baada ya kupokea magawio kutoka katika taasisi, mashirika na Makampuni ya Umma katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Jumatatu Julai 23, 2018. Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad