HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, July 16, 2018

DKT KIMEI ATETA NA WATEJA WA BENKI YA CRDB TAWI LA VIVA PREMIER JIJINI DAR


Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei akizungumza katika hafla ya jioni aliyowaandaliwa wateja mashuhuri wa Benki ya CRDB wa klabu ya Viva, iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye tawi Viva Premier, jijini Dar es salaam.
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Viva Premier, Naomy Mwamfupe akizungumza jambo wakati akitoa taarifa ya Tawi hilo kwa wateja mashuhuri wa Benki ya CRDB wa klabu ya Viva, katika hafla ya jioni iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye tawi hilo, jijini Dar es salaam.
Manaibu Wakurugenzi Watendaji wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka (kulia) na Dorah Ngaliga wakifurahi jambo katika hafla ya jioni iliyoandaliwa maalum kwa wateja mashuhuri wa Benki ya CRDB wa klabu ya Viva, iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye tawi hilo, jijini Dar es salaam.
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Viva Premier, Naomy Mwamfupe akibadilishana kadi na mmoja wa Wateja wa Benki hiyo, Daniel Ole Njolaay, katika hafla ya jioni iliyoandaliwa maalum kwa wateja mashuhuri wa Benki ya CRDB wa klabu ya Viva, iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye tawi hilo, jijini Dar es salaam. Katikati ni mmoja wafanyabiashara wakubwa nchini, Christopher Mwita Gachuma.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei akifyrahi jambo na Mzee Daniel Ole Njolaay (kulia) pamoja na Mzee Christopher Mwita Gachuma  katika hafla iliyoandaliwa maalum kwa wateja mashuhuri wa Benki ya CRDB wa klabu ya Viva, iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye tawi hilo, jijini Dar es salaam.

Mzee Christopher Mwita Gachuma akizungumza jambo na Mzee Daniel Ole Njolaay pamoja na Mdau Atu Mwakitwange.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei akimsikiliza mmoja wa wateja wa Benki hiyo, waliohudhulia hafla ya jioni iliyoandaliwa maalum kwa wateja mashuhuri wa Benki ya CRDB wa klabu ya Viva, iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye tawi hilo, jijini Dar es salaam.












No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad