HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, June 25, 2018

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UGENI KUTOKA MTANDAO WA MASHIRIKA YA MAENDELEO YA AGHA KHAN TANZANIA

 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mwakilishi Mkazi wa Mtandao wa Mashirika ya Maendeleo ya Agha Khan Tanzania, Balozi Amin Kurji alipomtembelea leo tarehe 25 Juni, 2018 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa Mtandao wa Mashirika ya Maendeleo ya Agha Khan Tanzania, Balozi Amin Kurji alipomtembelea leo tarehe 25 Juni, 2018 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na ugeni kutoka Mtandao wa Mashirika ya Maendeleo ya Agha khan Tanzania ulioongozwa na Mwakilishi Mkazi wa Mtandao huo, Balozi Amin Kurji (kushoto kwake) walipomtembelea leo tarehe 25 Juni, 2018 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akipokea zawadi kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa Mtandao wa Mashirika ya Maendeleo ya Agha Khan Tanzania, Balozi Amin Kurji alipomtembelea leo tarehe 25 Juni, 2018 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

(PICHA NA DEONISIUS SIMBA - OFISI YA BUNGE)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad