HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, 25 June 2018

MTAA KWA MTAA: PICHA ZA BARABARANI


Mafundi wakikarabati kipande cha barabara ya Kilwa kilichoharibika kutoka na  mvua za masika zilizoisha katika kijiji cha Mwalusembe Wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani.
Gari la mizigo likiwa na shehena ya mchanga  limeanguka kwenye barabara ya Kilwa katika kijiji cha Mwalusembe mkoani Pwani  kwa madai ya kumkwepa muendasha pikipiki.

No comments:

Post a comment

Post Bottom Ad