HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, May 4, 2018

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA UJERUMANI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Mhe. Heiko Maas, Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na  Waziri wa Mambo ya Nje wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Mhe. Heiko Maas wengine pichani kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Augustine Mahiga (kulia) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Zanzibar Mhe. Issa Gavu, Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)  
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani  Mhe. Heiko Maas mara baada ya mazungumzo  Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad