Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na mgeni wake Balozi wa Visiwa vya Comoro katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Mohammed Fakih Al Baadawy alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na mgeni wake Balozi wa Visiwa vya Comoro katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Mohammed Fakih Al Baadawy alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiagana na mgeni wake Balozi wa Visiwa vya Comoro katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Mohammed Fakih Al Baadawy baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment