Watalaam wa zao la korosho wakiangalia ubora wa korosho na kuziweka katika madaraja ili kuweza kuingia katika ghala la Mkuranga baada ya kuchambuliwa na kuandaliwa.
Akina mama wa Wilaya ya Mkuranga wakichambua na kuandaa Korosho ili ziweze kuwa na ubora kwa ajili ya kwenda kuzihifadhi katika ghala la Mkuranga. Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii.
No comments:
Post a Comment