![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjJnu8Ty7kzruY-JLE5Z3xSkSm3TFqY4eNQDVHWgL0XhNLyK0kRUdHn8vjzcvHb5KexMdkUKFlZP-6Kchz88GeaJxs_dXIwW4pdZVcZBmo6JFiXFfoOOCD3yQhScLEwZWgo3ku6T5IpN9wP/s640/WhatsApp+Image+2018-01-09+at+15.53.18.jpeg)
Wachezaji wa Simba SC, Nicolaus Gyan na Asante Kwasi wakiwasili leo jijini Dar es Salaam kutokea visiwani Zanzibar mara baada ya kuondolewa katika Michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kushika nafasi ya tatu katika msimamo wa Kundi A.
Mshambuliaji wa Wekundu wa Msimbazi, Shiza Ramadhani Kichuya akikataa kuzungumza na waandishi wa habari bandarini hapo mara baada ya kuwasili leo Jijini Dar es salaam akitokea visiwani Zanzibar mara baada ya kuondolewa katika Michuano ya Kombe la Mapinduzi .
Baadhi ya washabiki wa Simba SC wakishangilia mara baada ya timu hiyo ilipokuwa ikirejea nyumbani mara baada ya kuondolewa katika Michuano ya Kombe la Mapinduzi.
Mshabiki wa Simba SC, Willium Mazoba akizungumza na Michuzi Blog amesema kuwa amesikitishwa kwa timu yake kupoteza michuano hiyo na kuwataka walimu kujipanga kwa ajili ya ligi kuu Tanzania Bara. (Picha na Agness Francis wa Blogu ya Jamii)
No comments:
Post a Comment