Mkuu wa mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme amewataka wafanya biashara wote nchini kuja mkoani ruvuma kununua mahindi, tamko la kutaka wafanya biashara kuja mkoani ruvuma linakuja baada ya serikali ya awamu ya tano kufungua mipaka kwa ajili ya wafanyabiashara waweze kupeleka mahindi nje ya nchi HABARI KAMILI HII HAPA VIDEO YAKE.
Thursday, December 7, 2017

Home
Unlabelled
VIDEO:RC RUVUMA ATOA WITO KWA WAFANYABIASHARA NCHINI.
VIDEO:RC RUVUMA ATOA WITO KWA WAFANYABIASHARA NCHINI.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment