
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akishukuru mara baada ya kushiriki
Sakramenti Takatifu katika Ibada ya Jumapili ya Familia Takatifu
iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa na waumini wengine wa Kanisa
Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay wakishiriki Ibada
ya jumapili ya Familia Takatifu katika Kanisa hilo la jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akitakiana Heri na Masista walioshiriki
katika Ibada ya jumapili ya Familia Takatifu katika Kanisa la
Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akiagana na Paroko Msaidizi wa Kanisa la
Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Fr. Asis Mendokta mara
baada ya Ibada ya jumapili ya Familia Takatifu katika Kanisa hilo
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na waumini wa Kanisa la
Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es
Salaam mara baada ya Ibada ya jumapili ya Familia Takatifu
katika Kanisa hilo jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment