Mkurugenzi wa benki ya CBA Tanzania, Gift Shoko(kushoto)akiongea na baadhi ya wanafanzi wa shule ya sekondari ya Kawe Ukwamani jijini Dar es Salaam walipotembelea shule hiyo kukabidhi msaada wa mifuko ya Saruji zaidi ya 150 na matofali zaidi ya elfu 3 kwa ajili ya ujenzi wa uzio wa shule hiyo. Kulia ni Afisa elimu Sekondari Wilaya ya Kinondoni , Rogers Shemelekwa na Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Safina Egha.
Mkuu wa Idara ya Huduma za Kibenki wa benki ya CBA kwa wateja binafsi. Julius Konyani, akipongezwa na Mwalimu Mkuu wa Shule ya sekondari Kawe Ukwamani jijini Dar es Salaam Safina Egha, mara baada ya kukabidhi msaada wa mifuko ya Saruji zaidi ya 150 na matofali zaidi ya elfu 3 na mkurugenzi wa benki ya CBA Tanzania, Gift Shoko(katikati)kwa ajili ya ujenzi wa uzio wa shule hiyo.
Mkurugenzi wa benki ya CBA Tanzania, Gift Shoko(kushoto)akiongozwa na mwalimu mwandamizi wa idara ya mazingira uzalishaji mali wa shule ya sekondari ya Kawe Ukwamani jijini Dar es Salaam , Ajuaye Yusuph kukagua mazingira wakati walipotembelea shule hiyo kwa ajili ya kukabidhi msaada wa mifuko ya Saruji zaidi ya 150 na matofali zaidi ya elfu 3 kwa ajili ya ujenzi wa uzio wa shule.
Mkurugenzi wa benki ya CBA Tanzania, Gift Shoko(katikati)akisisitiza jambo wakati alipokuwa akiongozwa na mwalimu mkuu wa shule ya sekondari ya Kawe Ukwamani jijini Dar es Salaam Safina Egha (Kushoto) na mwandamizi wa idara ya mazingira uzalishaji mali wa, Ajuaye Yusuph (kulia) wakati walipotembelea shule hiyo kwa ajili ya kukabidhi msaada wa mifuko ya Saruji zaidi ya 150 na matofali zaidi ya elfu 3 kwa ajili ya ujenzi wa uzio wa shule.
Mkurugenzi wa benki ya CBA Tanzania, Gift Shoko(wapili kulia, Mkuu wa Idara ya Huduma za Kibenki wa benki ya CBA kwa wateja binafsi, Julius Konyani na mwalimu mkuu wa shule ya sekondari ya Kawe Ukwamani jijini Dar es Salaam Safina Egha (Kushoto) wakimsikilza mwalimu mwandamizi wa idara ya mazingira uzalishaji mali wa, Ajuaye Yusuph (kulia) akiongerea juu ya ubovu wa madarasa wakati walipotembelea shule hiyo kwa ajili ya kukabidhi msaada wa mifuko ya Saruji zaidi ya 150 na matofali zaidi ya elfu 3 kwa ajili ya ujenzi wa uzio wa shule.
Mkurugenzi wa benki ya CBA Tanzania, Gift Shoko(kushoto) akisalimiana na baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Kawe Ukwamani jijini Dar es Salaam, wakati walipotembelea shule hiyo kwa ajili ya kukabidhi msaada wa mifuko ya Saruji zaidi ya 150 na matofali zaidi ya elfu 3 kwa ajili ya ujenzi wa uzio wa shule.
Mkurugenzi wa benki ya CBA Tanzania, Gift Shoko(kushoto) akipongezwa na afisa elimu wa sekondari wilaya ya Kindoni ,Rogers Shemwelekwa mara baada ya kupokea msaada wa mifuko ya Saruji zaidi ya 150 na matofali zaidi ya elfu 3 kwa ajili ya ujenzi wa uzio wa shule sekondari ya Kawe Ukwamani jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment