Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Almasi Athuman Maige (Mb), ikiwahoji Wahariri pamoja Waandishi wa Habari wa Magazeti ya Mtanzania, Mwananchi na Nipashe kwa kosa la kutoa taarifa zinazohusu ushahidi na mwenendo wa kikao cha Kamati hiyo bila kupata idhini ya Bunge kitendo ambacho ni kinyume na kifungu cha 34 (1) (f) na (g) ya Sheria ya Kinga, Madaraka na Haki za Bunge, Sura ya 296. 
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Mtanzania Bw. Denis Msacky akijieleza mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge Nipashe kwa kosa la kutoa taarifa zinazohusu ushahidi na mwenendo wa kikao cha Kamati hiyo bila kupata idhini ya Bunge kitendo ambacho ni kinyume na kifungu cha 34 (1) (f) na (g) ya Sheria ya Kinga, Madaraka na Haki za Bunge, Sura ya 296.
Mhariri/Mwandishi wa Habari Gazeti la Mtanzania Bw. Bakari Kimwaga akiapaa kabla ya kuanza akijieleza mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge Nipashe kwa kosa la kutoa taarifa zinazohusu ushahidi na mwenendo wa kikao cha Kamati hiyo bila kupata idhini ya Bunge kitendo ambacho ni kinyume na kifungu cha 34 (1) (f) na (g) ya Sheria ya Kinga, Madaraka na Haki za Bunge, Sura ya 296.
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Mwananchi Bw. Angetile Osiah na Mwanasheria wake mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge Nipashe kwa kosa la kutoa taarifa zinazohusu ushahidi na mwenendo wa kikao cha Kamati hiyo bila kupata idhini ya Bunge kitendo ambacho ni kinyume na kifungu cha 34 (1) (f) na (g) ya Sheria ya Kinga, Madaraka na Haki za Bunge, Sura ya 296.
Mhariri wa Gazeti la Nipashe, Bw. Edmond Msangi akijieleza mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge Nipashe kwa kosa la kutoa taarifa zinazohusu ushahidi na mwenendo wa kikao cha Kamati hiyo bila kupata idhini ya Bunge kitendo ambacho ni kinyume na kifungu cha 34 (1) (f) na (g) ya Sheria ya Kinga, Madaraka na Haki za Bunge, Sura ya 296.
PICHA NA OFISI YA BUNGE
No comments:
Post a Comment