Naibu spika wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dkt Tulia Aksoni ameendesha harambee ya kuchangia hospitali ya wilaya ya Namtumbo iliyopo mkoaani Ruvuma kwa ajili ya kujenga hodi ya akina mama pamoja na jengo la upasauaji,pia naibu spika alishiriki mbio za kilometa 5 na kuwa mshindi wa mbio hizo habari kamili hii hapa video yake.
Saturday, November 11, 2017

Home
HABARI KIJAMII
VIDEO:NAIBU SPIKA TULIA AKSONI AMEWATAKA WANAWAKE NCHI KUJENGA MAZOEA YA KUFAYA MAZOEZI MARA KWA MARA.
VIDEO:NAIBU SPIKA TULIA AKSONI AMEWATAKA WANAWAKE NCHI KUJENGA MAZOEA YA KUFAYA MAZOEZI MARA KWA MARA.
Tags
# HABARI KIJAMII
HABARI KIJAMII
Labels:
HABARI KIJAMII
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment