Naibu balozi wa vijana wanaoiwakilisha Tanzania katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, Suzane William Mollel (wa tatu kulia) akiwa pamoja na baadhi ya vijana wenzake walioshiriki katika Tamasha la Vijana la Dunia, lililoandaliwa na Rais wa Urusi, Vladimir Putin. Tamasha hilo lilifanyika katika Mji wa Sochi kuanzia Oktoba 14 mpaka 22, 2017 na kuhudhuliwa na vijana kutoka mataifa mbalimbali Duniani

Naibu balozi wa vijana wanaoiwakilisha Tanzania katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, Suzane William Mollel (wa tatu kushoto) akiwa pamoja na baadhi ya vijana wenzake walioshiriki katika Tamasha la
Vijana la Dunia, lililoandaliwa na Rais wa Urusi, Vladimir Putin, wakiwa wameshika bendera ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, walipotembelea moja ya maeneo ya Mji wa Sochi, nchini Urusi kulikofanyika Tamasha hilo.
Naibu balozi wa vijana wanaoiwakilisha Tanzania katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, Suzane William Mollel (kushoto) akiwa pamoja na baadhi ya vijana wenzake walioshiriki katika Tamasha la Vijana la Dunia, lililoandaliwa na Rais wa Urusi, Vladimir Putin, nchini humo kuanzia Oktoba 14 mpaka 22, 2017 wakiwa katika picha ya pamoja walipotembelea ofisi za Umoja wa Mataifa, nchini humo.

No comments:
Post a Comment