Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Amina Khamis Shaban akizungumza
wakati wakati wa mahafali ya 8 ya Bodi ya Watalaamu wa Ununuzi na
Ugazi (PSPTB), Yaliyofanyika katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es
Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Ununuzi na Ugavi katika Sherehe ya Mahafali ya nane ya bodi yaliyofanyika katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam
Wahitimu wa Shahada ya Ununuzi na Ugavi wakiwa katika Maandamano wa Mahafali ya nane ya bodi ya watalaamu wa ununuzi na Ugavi

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Amina Khamis Shaban akiongoza Maandamano wakati wa mahafali ya 8 ya bodi ya Watalaamu wa Ununuzi na Ugazi (PSPTB), Yaliyofanyika katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Makamu Mkuu wa Chuo cha Ushirika Moshi(MOCU), Neema Kumburu akipokea cheti cha chuo hicho kuongoza katika utoaji wa masomo hayo mwaka wa pili Mfululizo
Hotuba ya Mkurugenzi Mtendaji wa bodi ya wataalamu wa Ununuzi na Ugavi akitoa nasaha kabla ya kumkaribisha mgeni Ramsi katika Mahafali ya 8 ya chuo hicho
Wahitimu wa Shahada ya Utaalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) wakisoma Kiapo Mbele ya Mgeni Rasmiwakati wa mahafali ya 8 ya bodi ya Watalaamu wa Ununuzi na Ugazi (PSPTB), Yaliyofanyika katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Makamu Mwenyekiti wa bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi,Ahmed Kilima akitoa hotuba ya Shukrani wakati wa kufunga mahafali ya 8 ya bodi ya Watalaamu wa Ununuzi na Ugazi (PSPTB), Yaliyofanyika katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Wahitimu wa Shahada ya Utaalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), katika picha ya pamoja na mgeni rasmi wakati wa mahafali ya 8 ya bodi
Brass Bendi kutoka Jeshi la Magereza nchini wakitoa Burudani wakati wa Mahafali ya Nane ya Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi.

Wafanyakazi
wa bodi ya Ununuzi na ugavi wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni
rasmi na meza kuu wakati wa kuhitimisha Mahafali ya 8 ya bodi ya
Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi
Brass Bendi kutoka Jeshi la Magereza nchini wakitoa Burudani wakati wa Mahafali ya Nane ya Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi.
No comments:
Post a Comment