Kamera ya Globu ya Jamii imenasa Baadhi ya wakazi wa Kinondoni wakivuka dimbwi la maji machafu ya mvua kama yanavyoonekana pichani leo jijini Dar es Salaam.
Madereva Bodaboda wakikatiza katika dimbwi la maji machafu ya mvua kama yanavyoonekana pichani leo jijini Dar es Salaam.
Magari yakikatiza katika dimbwi la maji machafu ya mvua kama yanavyoonekana pichani leo jijini Dar es Salaam.
Picha zote na Emmanuel Massaka, Globu ya Jamii.
No comments:
Post a Comment