Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Angeline Mabulla
akitoa maelekezo kuhusu utunzwaji bora wa majalada kwa afisa ardhi mteule wa wilaya
ya Kilombero – Morogoro. Walioambatana naye ni Kamishna wa ardhi msaidizi; Juliana
Pila na Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango, Wizara ya Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi; Bwn. Ezekiel Mpanda.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Angeline Mabulla
akikagua majalada katika masijala ya ofisi ya Ardhi, wilaya ya Kilombero – Morogoro.
Walioambatana naye ni Kamishna wa ardhi msaidizi; Juliana Pila na Mkurugenzi wa
Idara ya Sera na Mipango, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Bwn.
Ezekiel Mpanda.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Angeline Mabulla
akitoa maelekezo kuhusu utunzwaji bora wa machapisho na nyaraka mbalimbali katika
ofisi ya ardhi, kwa afisa ardhi mteule wa wilaya ya Kilombero – Morogoro.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Angeline Mabulla
katika picha ya pamoja na watendaji wa ofisi ya Kanda ya kati (Morogoro), mradi wa
kuwezesha umilikishaji ardhi (LTSP) na Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango,
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Bwn. Ezekiel Mpanda.
No comments:
Post a Comment