Dereva wa bodaboda akikatiza dimbwi la maji lililopo katika makutano ya barabara ya Bibi Titi na Morogoro Basi la Mwendo kasi likiwa katika barabara ya Morogoro ambayo imejaa maji Baiskeli za wauza lambalamba zikiwa zimepaki kutokana na kushindwa kutembea kutokana na mvua kubwa kunyesha
No comments:
Post a Comment