- Wadau wa Elimu wapongeza na wamejitokeza kwa Wingi
- Kongamano labainisha changamoto za elimu na mikakati ya kukabiliana Na changamoto zatajwa
- Lengo la KONGAMANO ni kuongeza ufaulu na elimu bora katika Elimu YA msingi na sekondari
- Serikali ya Mkoa wakusudia kuanzisha mfuko wa Elimu kwa lengo la kusaidia Vifaa vya Maabara, ununuzi wa vitabu, motisha kwa walimu na wanafunzi wanaofanya vizuri na kuingiza Umeme mashuleni
- Mkuu wa mkoa aelekeza wazazi na walezi kuchangia Chakula mashuleni na kushirikiana na serikali ktk ujenzi wa hostel
- Aagiza madai ya walimu yashughulikiwe kuanzia ngazi ya halmashauri kwa Yale ambayo yapo ndani ya uwezo wa halmashauri
- Mkoa umejipangia malengo ya kuwa Miongoni mwa mikoa KUMI bora kitaifa
- Maazimio ya kongamano yatakuwa ndiyo dira ya Elimu kimkoa na yataelekezwa katika ngazi zote.
No comments:
Post a Comment