Nickson Kibagage wa Serengeti Boys, akiruka juu kuupiga mpira kuelekea langoni wa Timu ya Taifa ya Vijana ya Ghana (U17), katika Mchezo wa kimataifa wa kirafiki, uliopichezwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam. Timu hizo zimetoka sare ya kufungana goli 2-2. endelea kuburudika na picha za matukio mbalimbali ya mchezo huo hapo chini.
Monday, April 3, 2017
Home
MICHEZO
SOKA
MATUKIO KATIKA PICHA: SERENGETI BOYS NA GHANA ZATOSHANA NGUVU LEO TAIFA, ZAFUNGANA 2-2.
MATUKIO KATIKA PICHA: SERENGETI BOYS NA GHANA ZATOSHANA NGUVU LEO TAIFA, ZAFUNGANA 2-2.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment