Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Lameck Nchemba, akitoa
ufafanuzi kuhusu utekelezaji wa majukumu ya wizara yake kwa Bajeti ya mwaka wa
fedha wa uliopita katika Kikao cha Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mambo ya Nje,
Ulinzi na Usalama wakati wa Mapitio ya Bajeti ya mwaka ujao wa fedha kwa Taasisi
ziliko katika Wizara hiyo, ikiwa ni hatua muhimu kabla ya kuanza kwa Vikao vya Bunge
la Bajeti la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linalotarajiwa kuanza mapema tarehe
nne mwezi Aprili mwaka huu, Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa Mikutano
wa Chuo Kikuu Dodoma [UDOM] mkoani Dodoma.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini [IGP] Ernest Mangu aliyesimama akitoa ufafanuzi kuhusu
hoja mbalimbali zilizoulizwa na Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mambo
ya Nje, Ulinzi na Usalama wakati wa Mapitio ya Bajeti ya mwaka ujao wa fedha kwa
Taasisi ziliko katika Wizara hiyo, huku Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali
Projest Rwegasira wa kwanza kulia na Naibu Katibu Mkuu wake, Balozi Hassan
Simba Yahaya wakimsikiliza kwa makini. Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa
Mikutano wa Chuo Kikuu Dodoma [UDOM] mkoani Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira wa
kwanza kulia na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Hassan Simba Yahaya
anayemfuatia wakifuatilia ufafanuzi uliokuwa ukitolewa na Mkuu wa Jeshi la Polisi
nchini [IGP] Ernest Mangu aliyesimama kuhusu Oparesheni mbalimbali za kuzuia
uhalifu hapa nchini, wakati wa Kikao cha Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mambo ya
Nje, Ulinzi na Usalama wakati wa Mapitio ya Bajeti ya mwaka ujao wa fedha kwa
Taasisi ziliko katika Wizara hiyo, ikiwa ni hatua muhimu kabla ya kuanza kwa Vikao
vya Bunge la Bajeti la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linalotarajiwa kuanza
mapema tarehe nne mwezi Aprili mwaka huu, Kikao hicho kimefanyika leo katika
ukumbi wa Mikutano wa Chuo Kikuu Dodoma [UDOM] mkoani Dodoma.
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dr. Anna Peter Makakala, akiwa pamoja na watendaji
wengine wa Wizara Mambo ya Ndani ya Nchi, akimfuatilia kwa makini Mwenyekiti wa
Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Mhe. Balozi Adad
Rajab wakati Mwenyekiti huyo hayupo pichani, akiwaongoza Wajumbe wa Kamati hiyo
kuipitia Bajeti ya mwaka ujao wa fedha kwa Taasisi ziliko katika Wizara hiyo, ikiwa ni
hatua muhimu kabla ya kuanza kwa Vikao vya Bunge la Bjeti la Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, linalotarajiwa kuanza mapema tarehe nne mwezi Aprili mwaka huu, Kikao
hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa Mikutano wa Chuo Kikuu Dodoma [UDOM]
mkoani Dodoma.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini [IGP] Ernest Mangu aliyesimama akitoa ufafanuzi kuhusu
hoja mbalimbali zilizoulizwa na Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mambo
ya Nje, Ulinzi na Usalama wakati wa Mapitio ya Bajeti ya mwaka ujao wa fedha kwa
Taasisi ziliko katika Wizara hiyo, huku Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali
Projest Rwegasira wa kwanza kulia na Naibu Katibu Mkuu wake, Balozi Hassan
Simba Yahaya wakimsikiliza kwa makini. Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa
Mikutano wa Chuo Kikuu Dodoma [UDOM] mkoani Dodoma.
No comments:
Post a Comment