Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe akizungumza na Balozi wa Italia nchini Tanzania, Reborto Mengoni kuhusu namna ambavyo wawekezaji wa Italia wanavyoweza kuja nchini Tanzania kuchangamkia fursa za Utalii kwa kujenga hoteli za hadhi ya nyota tano katika mwambao wa Bahari ya Hindi walipokutana leo jijini Dar es Salaam. Wengine ni Mwambata anayeshughulikia masuala ya utamaduni, Bi. Valeria La Scala ( wa kwanza kulia) na Mwambata anayeshughulikia masuala ya Biashara, Bi. Michelangela Adamo ( wa pili kulia) ( Picha na Lusungu Helela- Maliasili)
Balozi wa Italia nchini Tanzania, Reborto Mengoni ( wa kwanza kulia) akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe ( wa kwanza kushoto) kuhusu namna ambavyo wawekezaji wa Italia wanavyoweza kuja kuchangamkia fursa za Utalii kwa kujenga hoteli za hadhi ya nyota tano katika mwambao wa Bahari ya Hindi walipokutana leo jijini Dar es Salaam( Picha na Lusungu Helela- Maliasili)
Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe akizungumza na Balozi wa Italia nchini Tanzania, Reborto Mengoni kuhusu namna ambavyo wawekezaji wa Italia wanavyoweza kuja nchini Tanzania kuchangamkia fursa za Utalii kwa kujenga hoteli za hadhi ya nyota tano katika mwambao wa Bahari ya Hindi walipokutana leo jijini Dar es Salaam. Wengine ni Mwambata anayeshughulikia masuala ya utamaduni, Bi. Valeria La Scala ( wa kwanza kulia) na Mwambata anayeshughulikia masuala ya Biashara, Bi. Michelangela Adamo ( wa pili kulia) ( Picha na Lusungu Helela- Maliasili)
Msemaji wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Glory Mziray (kulia) akiwa na Katibu wa Waziri, Ephraimu Mwangomo ( wa pili kulia) wakimsikiliza Balozi wa Italia nchini Tanzania, Reborto Mengoni (hayupo pichani) mara baada ya kufanya mazungumzo na Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe kuhusu masuala ya uwekezaji katika sekta ya Utalii kwa kujenga hoteli za nyota tano katika mwambao wa Bahari ya Hindi walipokutana leo jijini Dar es Salaam. Wengine ni Mkurugenzi Msaidizi wa Mambo kale, Dkt.Fabian Kigadi pamoja na Mwambata anayeshughulikia masuala ya utamaduni, Bi. Valeria La Scala ( wa kwanza kushoto) ( Picha na Lusungu Helela- Maliasili)
Maafisa Waandamizi wa Wizara ya Maliasli na Utalii wakiagana na Waambata wa Ubalozi wa Italia nchini Tanzania walipokutana leo jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment